Thursday 21 January 2016

OLE1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel Akizungumza Wakati wa mkutano baina yake na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni Wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Tian Jin (kushoto) leo Jijini Dar es Salaam. Waziri Huyo yupo Nchini kwa Ziara ya kikazi.
OLE2
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel (kulia) akimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin leo jijini Dar es Salaam. Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
OLE3
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bibi. Zamaradi Kawawa (kulia) Akimkaribisha Ukumbini Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkalimani kutoka Ubalozi wa China hapa nchini Bi. Karen Sunlam
OLE5
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel akikabidhiwa Barua ya mwaliko wa kuhudhuria  Tamasha la sanaa lkitakalofanyika mwezi June Nchini China wakati wa mkutano baina yake na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni Wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Tian Jin (kushoto) leo Jijini Dar es Salaam.
OLE7
Baadhi ya viongozi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaaa wakifuatilia mkutano baina ya Katibu Mkuu wa wizara hiyo  na Naibu Waziri wa ,Habari,Utangazaji na Utamaduni Mheshimiwa Tian Jin.
OLE05
Baadhi ya maafisa kutoka Ubolizi wa China hapa nhcini wakifuatilia mkutano biana yao
OLE8
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel (kulia) Akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam.
OLE9
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel (kulia) Akiagana na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Tian Jin alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
OLE10
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel (wa tano kutoka kulia)  na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin (katikati) wakiwa katika picha ya Pamoja na Baadhi ya Wajumbe wakilisha Serikali za Tanzania na China wakati wa Mkutano Baina yao leo jijini Dar es Salaam.

TAM1
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza nao Ofisini kwake Mjini Dodoma Januari 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TAM3
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza nao Ofisini kwake Mjini Dodoma Januari 21, 2016.
TAM5
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Georoge Simbachawene akizungungumza kabla ya kukaribisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuzungumza na Wafanyakazi wa TAMISEMI mjini Dodoma Januari 21, 2016. 
TAM6
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mjini Dodoma Januari 21, 2016.
TAM8 TAM9
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mjini Dodoma Januari 21, 2016. 
TAM11
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipokea zawadi ya kikombe kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene ikiwa ni ishara ya Ofisi hiyo kutambua mchango wake wa kuendeleza michezo wakati akiwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo . Mheshimiwa Majaliwa alizungumza na watumishi wa TAMISEMI mjini Dodoma Januari 21, 2016.
TAM12
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI , George Simbachawene baada ya kuzungumza na Watumishi wa Ofisi hiyo mjini Dodoma Januari 21, 2016. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Benard Makali na wapili kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliudi Sanga. 
TAM13
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na  Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Benard Makali baada ya kuzungumza na Watumishi wa Ofisi hiyo mjini Dodoma Januari 21, 2016. Kushoto ni Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI , George Simbachawene na katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliudi Sanga. 
TAM14
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa wa TAMISEMI baada ya kuzungumza  nao mjini Dodoma Januari 21, 2016.Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Benard  Makali.
TAM15

No comments:

Post a Comment