Monday 11 January 2016

Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lumumba jijini Dar.Samatta JK (2) Kikwete (katikati) akitoa neno la kumpongeza Mbwana Samatta kwa kunyakua tuzo hiyo, Kulia ni Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Moses Nnauye na kushoto ni Mbwana Samatta.Samatta JK (3) Waziri Nape Nnauye Akizungumza Jambo.Samatta JK (4)

No comments:

Post a Comment