Tetemeko hilo limezua taharuki kubwa kuliko yaliyowahi kutokea katika kipindi cha miaka tisa iliyopita.
Wakala wa jeolojia mwandamizi wa wakala huo, Gabriel Mbogoni amesema tetemeko hilo lililokuwa na ukubwa wa 5.1 katika kipimo cha richter limetokea katika ukanda wa bonde la ufa mkondo wa mashariki,eneo lenye matokeo mengi ya matetemeko ya ardhi baada ya ziwa natron ambako kuna volcano iliyo hai.
No comments:
Post a Comment