Tuesday 26 July 2016

Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog amemsifia mzimbabwe Method Mwanjali,

Morogoro. Wakati Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog akimsifu beki wake wa kati Mzimbabwe Method Mwanjali, ameonyesha uwezo anapocheza kwenye nafasi hiyo. ame
Beki huyo mwenye nguvu, amewatoa wasiwasi mashabiki wa kikosi hicho kuhusu Mzimbabwe mwenzake aliyopo Yanga, Donald Ngoma, akisema anajua shughuli yake.

Mwanjali alisema licha ya Ngoma kumtambua vizuri, naye anamjua vyema, anavyocheza na kila kitu hivyo watulize mzuka akipewa nafasi ya kukutana naye atawaonyesha.

Alitoa angalizo kuwa licha ya yeye kumfahamu vizuri Ngoma, ili wafanikiwe wawe na umoja kwa sababu yeye pekee ni ngumu kufanikiwa.

No comments:

Post a Comment