Wednesday 27 July 2016

Mzimbabwe atua AZAM FC kufanya majaribio , atabiriwa kuchukua nafasi ya Kipre Tchetche

 Mshambuliaji raia wa Zimbabwe, Brian Abbas Amidu ametua nchini tayari kujaribiwa katika kikosi cha Azam FC.
Amidu amesafirishwa hadi mjini Zanzibar ambako Yanga imeweka kambi yake kujiandaa na Ligi kuu Bara msimu mpya wa 2016-17.

Azam FC inahaha kupata straika kwa kuwa mshambuliaji wake Kipre Tchetche amegoma kurejea nchini.

No comments:

Post a Comment