Thursday 28 July 2016

Iphone imeuza simu bilioni moja duniani

 Mwenyekiti Mtendaji wa Apple, Tim Cook amedai kuwa hivi karibuni kampuni yake iliuza iPhone ya bilioni moja.
Kwenye mkutano na wafanyakazi huko Cupertino nchini Marekani, Cook alisema kuwa hatua hiyo muhimu imefikiwa siku moja tu baada ya kuvuka matarajio ya wachambuzi.


 

CEO wa zamani wa Apple, Steve Jobs akionesha iPhone ya kwanza Jan. 9, 2007

Simu ya kwanza ya iPhone iliuzwa Marekani June 29, 2007. Mwanzilishi wa Apple, Steve Jobs aliionesha iPhone mbele ya umma January 9, 2007.

No comments:

Post a Comment