Thursday 28 July 2016

Mtu anayefanana na Rais Magufuli amezua taharuki kariakoo

Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amezua taharuki mitaa ya k,koo baada ya kuwa na muonekano unaofanana na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jonh Pombe Magufuli.
Mtu huyo ambaye anafanana sana na Rais Magufuli alionekana kufatwa kila anapoenda huku watu wakiwa wamemzunguka wakidhani Rais Magufuli Kavamia Soko la K,koo..



 
 

No comments:

Post a Comment