Wednesday 27 July 2016

Ney wa mitego afungiwa kujihusisha na muziki

Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego
Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego amefungiwa kujihusisha na muziki kwa kipindi kisichojulikana kufuatia wimbo wake alioutoa hivi karibuni.
Wimbo huo unaitwa ‘Pale kati patamu’.

Akizungumza Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza amesema Ney anatakiwa pia kulipa faini ya Sh1 milioni.

No comments:

Post a Comment