Saturday 16 July 2016

Magufuli amkabidhi Augustino Mrema Bodi ya Parole

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyopewa amefanya uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali, na pia amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania.

Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;


Mhe. Augustino Lyatonga Mrema.
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole kwa kipindi cha miaka mitatu, kuanzia leo tarehe 16 Julai, 2016.

Mhe. Augustino Lyatonga Mrema anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Mhe. Eusebia Nicholaus Munuo ambaye muda wake umemalizika.

Prof. William R. Mahalu
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.

Prof. Mohamed Janabi
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.

Prof. Angelo Mtitu Mapunda
Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.

Bi. Sengiro Mulebya
Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Bw. Oliva Joseph Mhaiki
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.

Mwl. Winifrida Gaspar Rutaindurwa
Ameteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.

Dkt. Charles Rukiko Majinge
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.

Dkt. Julius David Mwaiselage
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.





Kupandishwa Vyeo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa 25 wa Jeshi la Polisi kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP).

Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;

 
  1. Essaka Ndege Mugasa
  2. Adamson Afwilile Mponi
  3. Charles Ndalahwa Julius Kenyela
  4. Richard Malika Revocatus
  5. Geofrey Yesaya Kamwela
  6. Lucas John Mkondya
  7. John Mondoka Gudaba
  8. Matanga Renatus Mbushi
  9. Frasser Rweyemamu Kashai
  10. Ferdinand Elias Mtui
  11. Germanus Yotham Muhume
  12. Fulgence Clemence Ngonyani
  13. Modestus Gasper Lyimo
  14. Mboje John Shadrack Kanga
  15. Gabriel G.A. Njau
  16. Ahmed Zahor Msangi
  17. Anthony Jonas Rutashubulugukwa
  18. Dhahir Athuman Kidavashari
  19. Ndalo Nicholus Shihango
  20. Shaaban Mrai Hiki
  21. Simon Thomas Chillery
  22. Leonard Lwabuzara Paul
  23. Ahmada Abdalla Khamis
  24. Aziz Juma Mohamed
  25. Juma Yussuf Ally
  26. Aidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi wengine 34 kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).
  27. Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
  28. Fortunatus Media Musilimu
  29. Goyayi Mabula Goyayi
  30. Gabriel Joseph Mukungu
  31. Ally Omary Ally
  32. Edward Selestine Bukombe
  33. Sifael Anase Mkonyi
  34. Naftari J. Mantamba
  35. Onesmo Manase Lyanga
  36. Paul Tresphory Kasabago
  37. Dadid Mshahara Hiza
  38. Robert Mayala
  39. Lazaro Benedict Mambosasa
  40. Camilius M. Wambura
  41. Mihayo Kagoro Msikhela
  42. Ramadhani Athumani Mungi
  43. Henry Mwaibambe Sikoki
  44. Renata Michael Mzinga
  45. Suzan Salome Kaganda
  46. Neema M. Mwanga
  47. Mponjoli Lotson
  48. Benedict Michael Wakulyamba
  49. Wilbroad William Mtafungwa
  50. Gemini Sebastian Mushi
  51. Peter Charles Kakamba
  52. Ramadhan Ng'anzi Hassan
  53. Christopher Cyprian Fuime
  54. Charles Philip Ulaya
  55. Gilles Bilabaye Muroto
  56. Mwamini Marco Lwantale
  57. Allute Yusufu Makita
  58. Kheriyangu Mgeni Khamis
  59. Nassor Ali Mohammed
  60. Salehe Mohamed Salehe
  61. Mohamed Sheikhan Mohamed
  62. Maafisa hawa wa Jeshi la Polisi Tanzania wamepandishwa vyeo kuanzia tarehe 15 Julai, 2016.

No comments:

Post a Comment