Tuesday, 5 July 2016

Idara ya maafa imekutana na wadau wa masuala ya maafa umoja wa mataifa

R1Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brg. Jen, Mbazi Msuya akizungumza jambo wakati wa kikao na wadau wa masuala ya Menejimenti ya maafa kutoka Umoja wa Mataifa (UN) katika ofisi yake tarehe 05 Julai, 2016.
R2Mhandisi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Bw.Fanuel Kalugendo akizungumza jambo wakati wa kikao cha kujadili masuala ya upunguzaji athari za maafa na wadau kutoka Ofisi za Umoja wa Mataifa katika Julai 5, 2016 Jijini Dar es Salaam.
R3Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (wa kushoto) akiteta jambo na wadau wa masuala ya Menejimenti ya Maafa kutoka Ofisi za Umoja wa Mataifa Katikati ni Mwakilishi mkazi Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez na Mratibu Bi. Mona Folkesson Julai 5, 2016.
R4Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (watatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Idara ya Uratibu wa Maafa na wadau wa masuala ya Maafa kutoka Ofisi za Umoja wa Mataifa mara baada ya kujadili masuala ya menejimenti ya Maafa Ofisini hapo Juali5, 2016.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment