Tuesday 19 July 2016
Breaking News!! Kiwanda cha Polister kinaungua moto Kihonda Morogoro
Kiwanda cha nguo ambacho ni moja ya viwanda vichache vinavyo fanya kazi ambapo kwa sasa kilikua kinatengeneza khanga na vitenge vilivyoanzishwa na baba wa taifa mwalimu julias nyerere kimeungua moto asubuhi ya leo.
Mpaka sasa bado moto unaendelea karibu nusu ya kiwanda kimeteketea na magari ya zimamoto yameishiwa maji, wanaendelea kufuata maji mengine na jeshi la polisi limelazimika kutia maji ya katika gari ili kuongeza nguvu kuuzima moto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment