Waziri Mkuu Kassim MajaliwaAongoza Waislam katika Swala ya Eid
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba fupi mbele ya Waumini wa Dini
ya Kiislam (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi katika swala ya Eid
El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es
salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu
wa Ramadhan.
Mufti wa Tanzania, Alhaj Sheikh Abubakary Zubeir akitoa neno mbele ya
Waumini wa Dini ya Kiislam (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi
katika swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja,
Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo
wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa
katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni
kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika pamoja na Waumini wengine wa
Dini ya Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan
Mwinyi (wa pili kulia), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh.Ally Hapi,katika
swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja,
Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika pamoja na Waumini wengine wa
Dini ya Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan
Mwinyi (wa pili kulia), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaj
Mussa Salum pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh.Ally Hapi,katika
swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini
Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika pamoja na Waumini wengine wa
Dini ya Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan
Mwinyi (wa pili kulia), Mufti wa Tanzania, Alhaj Sheikh Abubakary
Zubeir (katikati), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaj Mussa
Salum pamoja na Naibu Mufti, Sheikh Hamid Jongo katika swala ya Eid El
Fitr iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam
leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaaga waumini wa dini ya Kiislam wakati
akiondoka viwanjani hapo mara baada ya kuisha kwa swala ya Eid El Fitr
iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo,
ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokelewa na
baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislam akiwepo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa
Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum alipokuwa akiwasili katika viwanja vya
mnazi mmoja mapema leo jijini Dar kuhudhuria swala ya Eid El Fitr
iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo,
ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokelewa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam, Alhaj Mussa Salum alipokuwa akiwasili katika viwanja vya mnazi
mmoja mapema leo jijini Dar kuhudhuria swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni
kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Dini
ya Kiislam mara baada ya kuwasili katika viwanja vya mnazi mmoja mapema
leo jijini Dar kwa ajili ya kuhudhuria swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni
kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
No comments:
Post a Comment