Wabunge wa Conservative wanafanya uchaguzi wao wa kwanza kumtafuta kiongozi mpya wa chama hicho.
Wagombea
watano wanawania kumrithi David Cameron ambaye alijiuzulu baada ya
kupoteza kwenye kura ya maoni kuhusu unachama wa Uingerzea kwa muungano
wa ulaya.Mgombea mkuu ni waziri wa mambo ya ndani Theresa May ambaye ametangaza uungwaji mkono wa zaidi ya wabunge 100.
Wapinzani wake wanasema kuwa kama mtu aliyeunga mkono uingerezaa kusalia katika muungano wa ulaya hayuko katika nafasi ya kushiriki mazungumzi ya uingereza kuondoka EU.
No comments:
Post a Comment