Rais Wa Rwanda Paul Kagame Awasili Nchini leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Rwanda,Paul Kagame amewasili
katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo na Kupokelewa na
Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Joseph Pombe
Magufuli. Baada ya Hapo ataelekea Ikulu jijini Dar es Salaam kwaajili ya
Kufanya Mazungumzo.
Baada ya hapo wataelekea katika Viwanja wa Maonesho ya Kimataifa ya
Sabasaba jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kufungua rasmi maonesho ya 40
ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba leo.
No comments:
Post a Comment