
Msanii maarufu wa VICHEKESHO (Komedi) Ndugu. Ismail Issa Makombe a.k.a KUNDAMBANDA, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Mbali na sanaa, alikuwa mgombea ubunge wa CUF na UKAWA kwenye jimbo la Masasi Mtwara
katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Disemba 2015 baada ya ule wa Oktoba kutofanyika kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea wa awali wa UKAWA, Emmanuel Makaidi (NLD).
Mungu ailaze Roho yake mahala pema peponi.
No comments:
Post a Comment