Wednesday, 6 July 2016

Mabadiliko ya Ratiba ya Mazishi ya MUHESHIMIWA BEATRICE SHELUKINDO

Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zamani wa Kilindi sasa yatafanyika kesho siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio leo Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.
Mazishi yatafanyika kesho saa tisa alasiri pale pale eneo la Olerian jijini Arusha.

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa.
Jina la Bwana Lihimidiwe.
AMEN

No comments:

Post a Comment