Kocha wa Timu ya Taifa ya Argentina ambayo ilipigwa na Chile katika Fainali za Copa America amebwaga manyanga.
Gerardo
Martino mwenye miaka 53 katika taarifa yake ya kuondoka amesema moja ya
sababu ni kutokana na kuwapo kwa matatizo katika kuchagua kikosi cha
kushiriki Olimpiki.Gerardo amekuwa mwalimu wa Argentina tangu mwaka 2014 baada ya kuifundisha Barcelona huko nyuma.
No comments:
Post a Comment