
Akizungumza na waandishi wa habari katika Bwalo la Polisi Oysterbay (Police Mess) ilikofanyikia hafla hiyo, IGP Sirro ameishukuru sana kampuni hiyo kwa msaada iliyoutoa, huku akieleza kwamba upatikanaji wa vifaa vya kisasa, yakiwemo magari ni changamoto kubwa inayolikabili jeshi la polisi nchini katika kukabiliana na uhalifu.
No comments:
Post a Comment