Tuesday 25 July 2017

Ndugai Apokea Barua ya Lipumba ya Kuwatimua Ubunge wabunge 8

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Job Ndugai amepokea Barua ya Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), anayatambulika na Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Nchini  Professa Ibrahimu Lipumba ya kutengua Ubunge wa Wabunge 10 wa Chama hicho.

No comments:

Post a Comment