Monday 24 July 2017

Lissu afikishwa Mahakamani

 Image result for tundu lissu
Lissu afikishwa Mahakamani avimba na T-shirt ya Ukuta.
Mwanasheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu afikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Saa 5 kuelekea Saa 6 Mchana.

Lissu alifikishwa Mahakamani hapo baada ya kulala Lumande kwa siku  tatu .

Lissu alipokuwa akishushwa kwenye gari ya maofisa wa Jeshi la Polisi alivua shati ambapo ndani alionekana kuonyesha T-shirt yenye maandishi ya Ukuta

No comments:

Post a Comment