Wednesday 19 July 2017

Ziara ya Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Biharamulo Mkoani Kagera

1 (1)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akiingia kweny  Bweni alilokuwa akilala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
1 (2)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimuonyesha Mkewe Mama Janeth Magufuli kitanda alichokuwa akitumia kulala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera,ambapo amemweleza mkewe kuwa alivunja hilo dirisha na mpaka leo halikutengenezwa ambapo leo hii amekabidhi kiasi cha shilingi milioni moja ili kukarabati dirisha na madirisha mengine ya shule hiyo, Mh Rais yupo mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
1 (3)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akitoka kwenye Bweni alilokuwa akilala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera’.
1 (4)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiongea na Wanafunzi  Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
1 (5)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja na  Wanafunzi  Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
1 (6)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akisalimiana na kuwaaga   Wanafunzi  Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
1 (7)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akipungia vikundi vya kwaya,ngoma na Burudani alipowasili kwenye viwanja vya stendi ya Biharamulo tayari kwa kuzindua Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
1 (8)
Baadhi ya waananchi waliohudhuria uzinduzi wa Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,wakimsikiliza kwa makini Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, wakati akiwahutubia 19 julai 2017.
1 (9)
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mustafa kijuu akisoma taarifa ya mkoa wake mbela ya   Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,wakati wa ufunguzi wa  Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
1 (10)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akihutubia wananchi wa Biharamulo wakati wa ufunguzi wa  Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
1 (11)
Umati Waananchi waliohudhuria uzinduzi wa Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,wakimsikiliza kwa makini Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, wakati akiwahutubia 19 julai 2017.
1 (12)
Umati Waananchi waliohudhuria uzinduzi wa Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,wakimsikiliza kwa makini Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, wakati akiwahutubia 19 julai 2017.
1 (13)
Umati Waananchi waliohudhuria uzinduzi wa Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,wakimshangilia,Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, mara baada ya kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa barabara kwenye viwanja vya stendi ya Biharamulo 19 julai 2017.
1 (15)
Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa barabara kwenye viwanja vya stendi ya Biharamulo 19 julai 2017.
1 (17)
Mhandisi wa maji wa wilaya ya Biharamujlo mh Patrice Jarome na Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji Bukoba Ndugu Allen Marwa wakijibu hoja ya maji mbele ya Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, mara baaada ya kuelezwa kero ya maji katika mji huo na wao kuahidi ndani ya siku kumi kufunga mitambo ya maji na kuwasambazia wananchi maji  19 julai 2017.
1 (18) 1 (19)
Mh Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa barabara kwenye viwanja vya stendi ya Biharamulo 19 julai 2017.
1 (20)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiondoa kitambaa kwenye jiwe kuashiria ufunguzi wa ufunguzi wa  Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
1 (21)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akipeana mkono  na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano mara baada ya kufungua  Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
1 (22)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Viongozi wengine akiwemo  Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wakikata utepe kuashiria ufunguzi  Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
1 (23)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na akiwa ameambatana na mkewe mama Janeth Magufuli Viongozi wengine akiwemo  Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wakisaimiana na wananchi waliohudhuria  ufunguzi  Barabara ya Biharamulo,Kagoma ,Lusaunga yenye urefu wa kilometa 154,Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
1 (24)
1 (25) 1 (26) 1 (27) 1 (28)
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wa wananchi kijiji cha Nyakahura waliokuwa njiani kumpokea akiwa njiani akielekea Ngara Mkoani Kagera, 19 julai 2017

No comments:

Post a Comment