Thursday 20 July 2017

Everton waendeleza Everton waendeleza Ushindi

Baada ya kuichapa Gor Mahia kwa mabao 2-1 katika mechi ya kirafiki jijini Dar es Salaam, Everton imeendelea kutoa vipigo katika mechi za kirafiki.
Safari hii ikiwa nchini Uholanzi, imetwanga FC Twente kwa mabao 3-0.
Mabao matatu ya Everton yamefungwa na Kevin Mirallas, Aaron Lennon na Kieron huku Wayne Rooney ambaye amerejea Everton kutoka Man United akiendelea kuwa kivutio.

VIKOSI:
Stekelenberg, Baines, Keane Williams, Kenny, McCarthy, Barry, Davies, Mirallas, Lookman, Calvert-Lewin
Used subs: Klaasen, Lennon, Besic, Dowell, Rooney, Gana, Martina, Schneiderlin
Unused subs: Jagielka, Joel, Connolly 
Goals: Mirallas (44), Lennon (73), Dowell (82)

No comments:

Post a Comment