Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.Sussan Kolimba (kushoto)
akifafanua jambo kwa wajumbe kutoka chama cha Wasiiona Tanzania
walipomtembelea ofisini kwake leo Mjini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti
wa Chama hicho Bw. Robert Bundala na Mweka Hazina Dkt. Batista Mgumba
(kulia).
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Sussan Kolimba (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka chama cha Wasioona
Tanzania baada ya mazungumzo ya kiofisi leo Mjini Dodoma.
Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
No comments:
Post a Comment