Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock
(katikati) na Mshauri Mwandamizi wa Serikali hiyo, Ndg. Aran
Corrington, pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini
kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto)akimsikiliza Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock
(katikati) na kulia ni Mshauri mwandamizi wa serikali hiyo, Ndg. Aran
Corrington, pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini
kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto)akiagana na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock
(kulia) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas
Kashililah (kulia)akiagana na Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock
(kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi wa Ireland ulipotembelea Ofisi ya
Bunge Mjini Dodoma, ukioongozwa na Balozi huyo.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment