Monday 28 August 2017

Ziara ya Rais Magufuli katika ofisi za Takukuru

Rais Maguduli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola
Ulinzi umeimarishwa katika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) zilizoko Upanga, jijini Dar es Salaam huku ikielezwa kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli anatembelea ofisi hiyo.
Saa 3:17 asubuhi yaleo Agosti 28, msafara wenye magari yapatayo 10 uliingia katika ofisi hiyo.
Katika kuimarisha ulinzi, barabara zinazoingia kwenye ofisi hiyo nazo zimefungwa.

No comments:

Post a Comment