Wednesday 23 August 2017

Yaliojiri leo tarehe 23 agost Ikulu Jijini Dar es salaam

uk1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017
uk2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini  Bi. Elizabeth Arthy  aliyeongozana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017
uk3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017
uk7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari baada ya kufanya mazungumzo  Waziri wa Mambo ya Nje wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart akiwa na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini Bi. Elizabeth Arthy pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017.
Picha na IKULU
uk4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart akiwa na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini Bi. Elizabeth Arthy pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017
uk6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na akiwa na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini Bi. Elizabeth Arthy aliyeongozana na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment