Saturday 26 August 2017

Ofisi za Imma Advocates zimewaka moto leo asubuhi

Muonekano wa mbele wa ofisi hizo huku moto ukiendelea kuwaka.
Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na  wanasheria Fatuma Karume na Lawrence Masha zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam, zimewaka moto leo asubuhi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika. Chanzo cha moto huo na hasara iliyosababishwa, bado havijafahamika na habari zaidi zitaendelea kukujia.




No comments:

Post a Comment