Wednesday 23 August 2017

Mamia wakusanyika kumsikiliza Trump Arizona

Mamia ya wafuasi wa Trump wamekusanyika katika mji wa Phoenix, Arizona kwa mkutano ambao utakaohutubiwa nae hivi punde.
Wapinzani wa Trump pia wamekusanyika kwa ajili ya kumpinga, Meya wa mji huo awali alimtaka Trump achelewe kufika kwa madai ya kusababisha ubaguzi wa rangi nchini Marekani.

Ni kutokana na maneno ya Trump juu ya mgogoro ulioibuka kati ya weupe na weusi mapema mwezi huu mjini Charlottesville.

No comments:

Post a Comment