Tuesday 22 August 2017

Mwanamke atafuta wanaume wa kumuoa

Mwanamke angia mitaani kumtafuta mwanamume wa kumuoa Nairobi
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameingia katika barabara za mji mkuu Nairobi, akiwa na bango lenye maandishi yanayosema kuwa anatafuta mwanamume wa kumuoa.
Akiwa amevaa nguo nyeupe sawa nguo inayovaliwa Bi harusi, Pris Nyambura mwenye umri wa miaka 28, ambaye pia ni mama wa mtoto mmoja, alikuwa na bango lililosema.

"Ninahitaji bwana, nina mtoto msichana wa umri wa miaka saba"

No comments:

Post a Comment