Wanachama wa Simba wapitisha mabadiliko, Mwanachama mmoja akataa
Hatimaye kwa pamoja, wanachama wa klabu ya Simba, wamepitisha mabadiliko ya klabu yao huku mwanachama mmoja tu akikataa.
Wanachama waliofanya mkutano kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar
es Salaam, wamekubaliana sasa klabu hiyo imeingia katika mfumo wa
endeshwaji utakaohusishwa uuzaji wa hisa.
No comments:
Post a Comment