Kikosi cha Liverpool kilichoanza Usiku wa Jana Dhidi ya Augsburg Uwanja wa WWK Arena nchini Ujerumani katika mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Michuano ya Europa League Uliomalizika kwa sare 0-0
Mshambuliaji
wa zamani wa Manchester City, Alvaro Negredo wa Valencia Akimtoka beki
wa Rapid Vienna, Stefan Stangl katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora
Kombe la Europa League, Mestalla, Hispania. Valencia inayofundishwa Na
mchezaji wa zamani wa Manchester United, Gary Neville ilishinda 6-0,
mabao Yake yakifungwa na Santiago Mina Lorenzo mawili, Daniel Parejo, Alvaro Negredo, Andre Filipe Tavares Gomes na Rodrigo Moreno Machado
No comments:
Post a Comment