Sunday 10 May 2015

KUNA UKWELI WOWOTE KUHUSU KUONEWA KWA MAN PACQUIAO?

Upo uvumi kwamba pambano la masumbwi lililofanyika katika ukumbi maarufu wa MGM Grand nchini Marekani kati ya Bondia Mfilipino Man Pacquiao (Mbunge) na Mayweather na kushuhudia ushindi wa point kwa bondia wa Kimarekani Mayweather kwamba ulitawaliwa na mizengwe mikubwa dhidi ya Mfilipino huyo. Nini ukweli wa malalamiko hayo.


No comments:

Post a Comment