Tuesday 19 May 2015

Majambazi wakamatwa baada ya kupora fedha Sinza Dar

JamiiForums's photo.Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya NMB ya iliyopo Sinza - Mori (Big Bon) na kupiga risasi za ovyo hewani, wakafanikiwa kutoka na mfuko wa hela (kiasi cha fedha hakijafahamika).
Wakati wanakimbilia kwenye gari lao Toyota Harrier lililokuwa kwenye Parking, wakakamatwa palepale!Majambazi walikuwa wanamlaghai mzee mmoja hivi ambaye alikutwa eneo tofauti na hapo Bigbon waliponaswa walihitaji hela.....ndio akawapeleka hadi bank kuwazuga ili akutane na Polisi.

Sio kuwa walitoka na mfuko wa hela, ila sasa wanashikiliwa na Polisi pia wapo katika Kituo cha Polisi Mabatini.

No comments:

Post a Comment