Wednesday 6 May 2015

HATIMAYE YANGA WAKABIDHIWA MWALI WAO MBELE YA YUSUF MANJI


Hatimaye mabingwa wa Tanzania Bara kwa msimu wa 2014-15, Yanga wamekabidhiwa kombe lao.

Pamoja na kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Azam FC leo, Yanga wamekabidhiwa mwali wao huyo mbele ya Mwenyekiti wao, Yusuf Manji.Yanga walikabidhiwa kombe hilo mara tu baada ya mechi dhidi ya Azam FC.

No comments:

Post a Comment