Wednesday 13 May 2015

Wote wachafu wasijifanye wanaosha kikombe kwa nje. na bado ndani ni kichafu...

Mbunge Peter Selukamba ameishangaa serikali kuwasafisha baadhi ya viongozi waliohusika na sakata la Escrow huku ikiwaacha wengine wakihukumiwa.

No comments:

Post a Comment