Sunday 3 May 2015

MEI MOSI 2015, RAIS AZUNGUMZIA WIMBI LA WAGENI KATIKA AJIRA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa mjini Mwanza. Hapa akizungumzia suala kukithiri kwa wafanyakazi wa kigeni nchini na hivyo kuwanyima fursa wazawa katika ajira.

No comments:

Post a Comment