Makamu wa Rais Mh. Mama Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wananchi katika mji wa Nangurukuru Wilaya
ya Kilwa waliojitokeza kwa wingi wakati akipita kuelekea Mkoani Mtwara
kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Makamu wa Rais Mh. Mama Samia
Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi katika mji wa Nangurukuru Wilaya ya
Kilwa waliojitokeza kwa wingi wakati akipita kuelekea Mkoani Mtwara kwa
ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Makamu wa Rais Mh. Mama Samia
Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwasalimia
wananchi katika mji wa Nangurukuru Wilaya ya Kilwa waliojitokeza kwa
wingi wakati akipita kuelekea Mkoani Mtwara
Baadhi ya wananchi aliojitokeza
kumlaki Makamu wa Rais Mama Samia Hassan Suluhu wakati akipita kwenye
mji wa Nangurukuru wilayani Kilwa mkoa wa Pwani.
No comments:
Post a Comment