Tuesday 27 September 2016

Abdul Kiba asimulia mafanikio ya wimbo ‘Bayoyo’

 Image result for ABDU KIBA
Msanii wa muziki, Abdul Kiba amesema wimbo ‘Bayoyo’ umemfanya agundue kitu ambacho mashabiki wake walikuwa wanakitaka kutoka kwake kwa muda mrefu.
Akiongea na FOFAM-MEDIA BLOG hii, Abdul Kiba amesema hali hiyo itamfanya ahakikishe anatoa kazi kali.
“Mapokezi ya huu wimbo yamenijenga sana na nimepata nguvu na kuamini kwamba muziki wangu una team kubwa na wanasupport kazi zangu,” alisema Abdul Kiba. Kwa hiyo nachoweza kusema mashabiki wangu wakae tayari kwa Abdul Kiba mpya wa mambo mazuri tu, yaani sitaki kuzungumza sana,”

Pia muimbaji huyo amesema kwa sasa ajipanga kuanza kushoot video yake mpya ya wimbo aliyomshirikisha rapa Mr Blue ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo ‘Mboga Saba’ aliyomshirikisha AliKiba.

No comments:

Post a Comment