Monday 26 September 2016

Ziara ya Rais Magufuli Bandarini yazua Taharuki

Image result for bandari ya dar es salaam
Rais Magufuli leo amefanya ziara Bandarini. Awataka maofisa wa ngazi za juu wa TPA wenye vyeti bandia wajisalimishe mara moja.
- Amekuta vifaa vya kukagua mizigo havifanyi kazi. Ameagiza vifaa hivyo viongezwe na kufikia 6 na vilivyopo vifanye kazi

No comments:

Post a Comment