Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.
Harrison Mwakyembe akiwaeleza jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Nnauye (Kushoto) Mhe. Ruth Mollel na Naibu Waziri,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt Abdallah Possi. Wakati wa
Kikao cha Pili cha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo
Mjini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akimueleza jambo Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye
Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (MB) wakati wa kikao cha 2 cha bunge la
Jmahuri ya Muungano wa Tanzania
Naibu Waziri Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamisi Kigwangalla
akijibu swali wakati wa Wakati wa Kikao cha Pili cha Bunge la 11 la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akijibu swali wakati wa Wakati wa
Kikao cha Pili cha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo
Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment