Kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amehoji Deni la Taifa kukua na kuzidi shilingi trilioni 51 ambayo ni karibia mara mbili ya Bajeti ya Taifa
- Ametaka kuwepo na udhibiti ili Serikali isikope kiholela na kusababisha Taifa kuelemewa na mzigo wa Deni la Taifa
No comments:
Post a Comment