Wednesday 28 September 2016


Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa ratiba ya makundi ya timu za taifa kwenye michuano ya AFCON itakayofanyika mwakani huko nchini Gabon.
Kwa upande wa Afrika Mashariki inawakilishwa na timu ya Uganda pekee ambayo imepangwa kundi D na timu za Togo, Zimbabwe na Guinea Bissau.
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kufanyika Januari 14 mpaka Februari 5, mwakani huku viwanja vya miji minne ya nchi hiyo vikitumika ikiwemo Libreville, Franceville, Oyem-Bitam na Port-Gentil.

Haya ni makundi yatakayoshiriki AFCON mwakani.

Kundi A: Gabon, Cote d’Ivoire, Ghana, Algeria
Kundi B: Tunisia, Mali, Burkina Faso, DR Congo
Kundi C: Cameroon, Senegal, Morocco, Egypt
Kundi D: Togo, Uganda, Zimbabwe, Guinea Bissau

No comments:

Post a Comment