Wednesday 28 September 2016

ATCL yatakiwa kutoruhusu viongozi wa serikali kusafiri bure

Image result for magufuli
Rais John Magufuli 
. Rais John Magufuli ameitaka  menejimeti ya ATCL isiruhusu viongozi wa serikali wakasafiri bure.
Ameyasema hayo katika uzinduzi wa ndege mbili za Bombadier Q 400 na kuitaka kuacha kutumia mawakala kukatisha tiketi  na badala yake itumie njia nyingine.

No comments:

Post a Comment