Saturday 24 September 2016

Wafuasi wa Prof. Lipumba wamekusanyika makao makuu ya CUF

 
Wafuasi wa Prof. Lipumba wamekusanyika makao makuu ya CUF wakisubiri kumpokea kama mwenyekiti wao wadai wana barua kutoka kwa Msajili wa vyama inayomtambua kama Mwenyekiti.
- Wafuasi hao wa Lipumba wamesikika wakiimba na kucheza huku wakidai kuwa wanasubiri msafara wa Lipumba ambao upo njiani kuelekea Makao Makuu ya CUF Buguruni.

No comments:

Post a Comment