Friday 23 September 2016

Magaidi Yazuia Raia Kuvaa Jezi Za Man United, Chelsea, Real Madrid, Barcelona

 Image result for Magaidi yazuia kuvaa jezi za man u chelsea
Wakazi wa eneo la Al-Furat nchini Iraq, wamepigwa marufuku kuvaa jezi za timu mbalimbali za Premier League ya England, Serie A ya Italia, Bundesliga ya Ujerumani na La Liga ya Hispania.
Kundi la Kigaidi la ISIS limetoa tangazo kwamba raia hawaruhusiwi kujihusisha au kuvaa jezi za timu hizo au zile zenye nembo ya Adidas na Nike.

No comments:

Post a Comment