Sunday 25 September 2016

Habari Picha


mbw1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisalimiana na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe, walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
mbw2
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akijadiliana jambo na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe, walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ikiwa ni mkakati wa kuupatia ufumbuzi mgogoro kati ya wananchi wanaozunguka uwanja huo na kampuni inayouendesha ya KADCO.
mbw3
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo kwa Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe, walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

No comments:

Post a Comment