Sunday 25 September 2016

Katibu wa Mbunge wa mbeya mjini amefariki dunia alfajiri ya leo

  Image result for joseph mbilinyi
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kupitia Chadema amepata pigo baada ya katibu wake, Christopher Mwamsiku kufariki dunia alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ikonda Wilayani Makete mkoani Njombe.
Akizungumza kwa njia ya simu Sugu alisema kifo cha katibu wake ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa kampeni zake wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana ni pigo kwake na chama kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment