Kuna baadhi ya misitari ya Biblia inayopendwa sana na watu wasioamini uwepo wa Mungu kwa sababu haieleweki vizuri au ni tatanishi
Biblia ni kitabu kinachoheshimiwa sana kwa sababu ni kitakatifu.
Lakini ni wazi kuwa baadhi ya misitari huchanganya na huenda hujawahi kuisikia ikisomwa kanisani.
Huku baadhi ya wasomi wakielezea misitari hiyo kuwa methali tu au
masuala ya kihistoria, wengine hawawezi kuelezea maana fiche katika
misitari hiyo na hivyo huitumia jinsi ilivyo.
Ifuatayo ni baadhi ya misitari isiyoeleweka moja kwa moja na huchanganyisha baadhi ya watu na kutumiwa vibaya na wengine.
Wafalme wa pili 23-24- Kisa cha Elijah alipowaitishia laana
vijana waliomkejeli. Vijana hao arobaini na wawili waliuawa na nyumbu
wawili waliotoka kichakani karibu. Je, Biblia imeidhinisha adhabu kwa
watu wanaowakejeli manabii wa Mungu?


Mambo ya Walawii 19:27 (NIV)-umesema wanaume hawafai kukata ndevu au nywele upande mmoja na upande mwingine kichwani. Sababu?Hiyo ni baadhi tu ya misitari isiyoeleweka vyema, kuna misitari mingine zaidi katika agano la kale na agano jipya ambayo haieleweki vyema vile vile.
No comments:
Post a Comment