Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye. akiwa katika
mkao wa kusafisha kichwa unaojulikana kwa lugha ya Yoga "KAPALABHATI".
Faifa za mkao huu ni pamoja na kusafisha njia za kupumulia na kuponya
kukohoa, kutibu mafua, pumu na maambukizi kwa njiaya kupumua.
Hali kadhalika unaufanya mwili kuchangamka na kuipa sura nuru na ujana
na pia kustawisha mfumo wa neva na kuboresha mfumo wa kusaga chakula.
Wazi Nape, ambaye alifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, aliongoza
mamia ya wakazi wa jiji katika kuadhimisha Siku ya YogaDuniani kwenye
ufukwe wa Coco Juni 19, 2016
Mkao wa kusafisha kichwa (Kapalabhati).
Mkao unaosaidia mwili kuwa imara au kama unavyojulikana "Tadasana".
Kutoka kushoto ni Wazir Nape, Balozi wa India nchini Tanzania, Sandeep
Arya na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul makonda.
Umbo lapembe tatu au Trikonasana.
Yoga ikiendelea, kutoka kulia kwenda kushoto, ni aliyekuwa Balozi wa
Tanzania nchini Uingereza, Peter Kalaghe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape
Nnauye, Balozi wa India nchiniTanzania Sandeep Arya, na Balozi Mbelwa
Kairuki.
No comments:
Post a Comment