Monday 27 June 2016

Matukio tuzo za BET nchini Marekani

 Wikiendi hii jijini Los Angeles Marekani tuzo za BET zilitolewa na kuhudhuriwa na mastaa kibao. Beyonce, Kendrick Lamar, Alicia Keys, Usher na wengine ni miongoni mwa mastaa waliotumbuiza. Tazama picha hizi mbalimbali za show hiyo.

 




























 

 

No comments:

Post a Comment